0
Viongozi wa Umoja wa vijana wa CCM  Taifa (UVCCM) Wameungana na viongozi wengine wa chama kusherehekea sherehe za maadhimisho ya  miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara..hapo juzi.Mh. Mboni Mhita akiwa kama kiongozi wa UVCCM Taifa nae hakuwa nyuma, kama ilivyo ada  alipata fursa ya kuungana na wenzake katika sherehe hizo zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu. Pata matukio zaidi ni katika picha zifuatazo
Mh. Mboni Mhita katika viwanja vya Ikulu

 Mh. Nadra (Mnec) kutoka Unguja akiwa na Mh. Mboni
 Mh. Mboni kushoto akiwa na Mh. Nadra pamoja na Sixtus Mapunda Katibu mkuu UVCCM Taifa wakiwa katika viwanja vya Ikulu kusheherekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara


 Mh. Mboni Mhita

Post a Comment

 
Top