Makam Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Mh.Mboni Mhita mapema leo amekutana na viongozi na wawakilishi wa wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga,baada ya vurugu zilizo tokea jana baina ya wafanyabiashara hao na jeshi la askari polisi,aidha kwenye kikao hicho, Mh.Mboni Mhita alitaka kujua taizo linalo wakabili wamachinga hao na amezichukua
changamoto zao kwenda kujadiliana na wadau mbalimbali kuona namna ya
Kuzitatua ili Wafanyabiashara hao waweze kufanya biashara kwa uhuru na
haki bila kubugudhiwa na watendaji wachache wanaowatumia
wafanyabiashara hao kwa maslai yao Binafsi.
Mh.Mboni Mhita akipiga picha ya pamoja na viongozi na wawakilishi wa wafanya biashara wadogo wadogo jijini Dar es salaam leo.
. Makamu
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM Taifa Mh. Mboni Mhita Akiwa Katika
Picha ya Pamoja na Viongozi hao leo Maraekanavyo, baada ya kuwasiliza
na Kuchukua changamoto zianzowakabili wafanyabiashara hao kwa lengo la
kwenda kuzifanyia kazi haraka iwezekanavyo.
Big up Kiongozi!!! Hakika we ni mfano wa kuigwa! #Team Mhita
ReplyDelete