IDRIS SULTAN
Hatimaye kijana wa kitanzania Idris Sultan aliyekuwa akishiriki katika shindano la Big brother Africa ameibuka na ushindi na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000 katika shindano lililomalizika leo huko Nchini Afrika ya kusini.
Wakati huohuo Mh. Mboni Mhita amemtumia salamu za pongezi kijana Idris kwa ushindi wake huo
Post a Comment