Pati ya Zari ‘AllWhite CirocParty’ iliyofanyika usiku wa kuamkia Decemba 19 mjini Kampala imeisha saa 11 alfajiri, Kwa mjibu Wa wahusika wa club @guvnoruganda wanasema ukumbi wao haujawahi kujaza watu kama ilivyokuwa kwenye party hii, licha ya watu kujaa ndani bado palikuwa .na watu walioshindwa kuingia na kubaki nje
Picha kwa hisani ya mtandao wa sammisago
Post a Comment