Mh. Mboni Mhita akizungumza na waandishi wa habari
mara tu baada ya kuwasili kutoka S.Afrika
MBONI Muhammed Mhita Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa siku chache
zilizopita 29/11/2014 Nchini South Africa alishiriki uchaguzi wa
(P.Y.U) JUMUIA YA UMOJA WA VIJANA AMBAO UPO CHINI YA UMOJA WA AFRICA (AU)
Mboni Muhammad Mhita amefanikiwa kuchaguliwa katika nafasi ya naibu
katibu mkuu Kanda ya Africa Mashariki,Kwa mpango wa African Union ambao
ni umoja wa Africa unapozungumzia Africa Mashariki tafasiri yake ni nchi
zote tano za Africa mashariki pamoja na Elitrea na Ethiopia....Ndugu
Mboni Mhita tofauti na nafasi yake ya makam m/kiti UVCCM Taifa ndani ya
chama cha mapinduzi, kwasasa pia atafanya kazi ya vijana East Africa
nzima bila kuangalia itikadi ya vyama.
Mapokezi yanaendelea kwa shangwe za aina mbalimbaliMh. Mboni Mhita akipata maelekezo kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari
Post a Comment