Mh. Mboni Mhita akiwa na viongozi wa ANC Nchini Afrika ya Kusini. Maropene na Relato wakati wa uchaguzi wa P.Y.U. Mh. Mboni aligombea nafasi ya uwakilishi wa Nchi za Afrika Mashariki na kushinda nafasi hiyo.
Mh. Mboni akiwa Nchini Ecuador akisubiri kuonana na Waziri wa Vijana wa nchi hiyo
Mh. Mboni akiwa na hati ya Heshima ya Mwl Nyerer aliyopewa nchini Ecuador
Hongera sana mpiganaji wetu!
ReplyDelete