0
*Tunasikitika kutangaza kifo cha Pamela Sima Ruhago kilichotokea jijini Dar es salaam jana tarehe sita June, 2014.* * Maombelezo yanaendelea Mbweni nyumbani kwa Mama yake, Eva Ruhago.Mtaa wa MICA.* * Ibada ya mazishi itafanyika kesho tarehe 08 June, 2014 TISA KAMILI mchana katika kanisa la KKKT BOCCO - Mbweni na Mazishi yatafanyika MARA BAADA YA IBADA NA KUAGA katika makaburi ya Bahari beach kwa Kondo kuanzia saa kumi jioni.* *Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Roho ya marehemu Pamela Sima Ruhago ipumzike amani Amin*

Post a Comment

 
Top