0
nashukuru ziara yangu imeisha salama kwa siku ya leo hapa Arusha,narudia kuwa sisitiza vijana wenznagu kuwa tukatae kutumika katika makundi ya watu wenye maslahi yao naakuwa tumia vijana tu katika mambo yao,,,tupendane,tusaidiane na tufanye maamuzi ya busara mara zote katika kuijenga nchi yetu na amani yake

wakati ndio huu tujipange kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,kwani VIJANA NI TAIFA LA LEO

Post a Comment

 
Top