Home
»
» Unlabelled
» UVCCM MKOA WA IRINGA KUMSIMIKA KAMANDA WAKE MH. SALIM ASAS 23/08/2014
|
Maandalizi
ya shuhuli ya kumuapisha KAMANDA wa UVCCM MKOA WA IRINGA MH SALIM F.
ABRI (ASAS) yamekamilika na wageni nyote mnatakiwa kufika IRINGA siku ya
kesho ijumaa 22/08/2014. Ulizi WA uhakika na Amani ya kutosha ipo. Maandalizi yote hayo ni chini ya KAMANDA bora SALIM F. ABRI (ASAS) Tunawatakia safari njema ya ujio wa IRINGA karibuni sana. |
Post a Comment