Home
»
» Unlabelled
» MWENYEKITI WA UVCCM MSASANI AWAONYA VIJANA WANAOPANGA NJAMA ZA HUJUMA
 |
| M/kit wa Uvccm kata ya msasani Ndg.severine
kumbila ameonya kijana yoyote wa uvccm wanaokaa vikao nje ya vikao na
kuwasema viongozi na kupanga njama za kuhujumu uongozi wa uvccm kata na
kuchochea viongozi wa matawi kugomea maagizo ya viongozi
wa kata na anaetoa siri za vikao endapo ikibainika MTU au kundi lolote
atachukuliwa atua Kali kwa mjibu wa kanuni ya uvccm.mwenyekiti alisema
hayo kwenye kikao cha kamati ya utekelezaji kata. |
Post a Comment