Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili
kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia
mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Rais Kikwete akiawaaga wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

PICHA NA IKULU
Post a Comment