JULIANA SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA WAONGOZA KWA KUSHANGILIWA
jioni hii majira ya saa kumi na mbili jioni ndio mkutano wa hadhara
umeishia hapa Mbeya mjini ambapo kulikuwa na matukio makubwa ya vijana
wa CCM kutoha sehemu mbali mbali za nchi kumunga mkono mwenyekiti
mwenzao wa Mbeya ndugu Kajuna katika tukio la kufungua mashina,kusimika
makamnda na mkutano wa hadhara
vijana hao ambao walikuwa wameambatana na mjumbe wa NEC toka Mafya na
mkt wa UVCCM mkoa wa Pwani ndugu Muhamedi Nyundo, Mjumbe wa baraza kuu UVCCM Taifa kupitia mkoa wa Iringa na Mjumbe kamati ya utekelezaji Uvccm Taifa Bi. Sek Kasuga, MNEC wa vijana kupitia
Zanzibar Bi Nadra,katibu wa idara ya utawala,uchumi na fedha UVCCM
makao makuu na mkt wa UVCCM wilaya ya mjini Zanznibar,COM Paul Makonda
ambae ni mjumbe wa bunge la katiba na katibu wa hamasa chipukizi makao
makuu
pia msafara huo ulikuwa pia na mkt wa UVCCM mkoa wa mjini unguja ndugu
Kibwana,mkt wa UVCCM mkoa wa Morogoro Bi Harieti Sutta,mkt wa UVCCM
mkoa wa Dodoma ndugu Masunga,mkt wa UVCCM mkoa wa Katavi ndugu Calvin
Mbogo (mnyama) mkt wa UVCCM wilaya ya Rufiji ndugu Mtweve,mkt wa
UVCCM mkoa wa DSM ndugu Omar Matulanga,mjumbe wa baraza kuu UVCCM
Taifa kupitia mkoa wa Morogoro ndugu Asenga Abubakar,Mjumbe kupitia
mkoa wa Tanga Bi Husna Mbwambo na makada wengine ambao wameonyesha
umoja wa hali ya juu katika kukijenga chama chao na kuwa vijana wa
mfano KWA VIJANA WENGINE
pamoja na yote, waliwahasa vijana wa Mbeya kutokurudia makosa,,,kwa
walioyapata yana watosha,,,akiongea kada mtiifu wa CCM Bi Juliana
Shonza alizitaja ahadi zote za mbunge Sugu ambazo hadi sasa hajatekeleza
hata moja,,,mfano mabwawa ya samaki kwa vijana,,,,
KADA Mtelea Mwampamba aliongea historia ya CCM na CHADEMA,,,na kuwa
hasa Wanambeya daima wasijethubutu kurudia makosa na kuwa yeye alikuwa
chadema na hana wajua kuwa ni wababaishaji kwa maslahi yao na si
maslahi ya umma..
Paul Makonda alizungumzia juu ya umuhimu wa serikali tatu,,na makosa ya
UKAWA kutoka nje akiwataka warudi bungeni kama kweli wao hawalipwi na
mawakala wao wa nje ya nchi ili wakae nje ya bunge.
mkt Kibwana akiongea kuwakilisha vijana wa Zanznibar aliwaaambia wana
Mbeya KUWA ;"muungano hudumu daima na kuwa ukiona Mzanzibar anapinga
muungano huu wa serikali mbili basi wajue huyo ni hamnazo na analake
jambo"
|
Post a Comment