0
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akibadilishana mawazo na Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa Iringa Alawi Haidary Foum.



Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akimuapisha Kamanda wa Wilaya ya Kilolo Prof. Peter Mahmudu Msola ambae pia ni Mbunge wa Jimbo hilo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akisaini Kitabu cha Wageni cha Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa.


Post a Comment

 
Top