Home
»
» Unlabelled
» MATAWI MAALUMU YA UMOJA WA VIJANA WA CCM KUIMARISHWA VYUONI
 |
Mkuu wa Utawala wa UVCCM Taifa Comred OMARI MWANANG'WALU akizungumza na
baadi ya vijana kutoka vyuo mbalimbali vya Mkoa wa Dar Es Salaam ambao walikuja
kujifunza mambo mbalimbali ya UVCCM MAKAO MAKUU, KAMA VILE ,KANUNI YA UVCCM NA IDARA ZA UVCCM MAKAO MAKUU. AKIAMBATANA NA COM MPOKWA, kwa pamoja waliwapongeza vijana hao kwa moyo wao wakujenga UVCCM imara.
Mkuu wautawala alisema.."..tunatafuta utaratibu mzuri zaidi wa kuona
tunaimarishaje matawi ya umoja wa vijana vyuoni nchi nzima, baada ya
kikao na viongozi wenzangu tutawajulisha nini tumeamua kwa pamoja....." |
Post a Comment