Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba
Sixtus Mapunda akiendelea na ujenzi katika uwanja wa michezo wa
st.Benjamin uliopo Usa river kwa ufadhili wa edinburgh global
partnerships na YES Tanzania katika ziara yake ya kwanza ya kikazi ya
siku tatu katika Mkoa wa Arusha
Aliyevalia sweta ni mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyirembe Munasa
akisalimiana na viongozi wa chama Wilayani hapo ambapo mradi huo
umetekelezwa kulia ni Katibu mkuu UVCCM Sixtus Mapunda akifurahia jambo
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba
Sixtus Mapunda akipokelewa na viongozi na wa chama hicho mapema kabla ya
kutembelea miradi
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba
Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mmoja wa wa vijana waliojitolea katika
mradi wa ujenzi wa kiwanja cha michezo
Hapa viongozi na wadau wakishuhudia jiwe la msingi katika
kiwanja hicho cha michezo kilichozinduliwa rasmi na Katibu mkuu wa UVCCM
Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba
Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mshindi wa mbio za pikipiki greengad
maarufu kwa jina la Mjusi.
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akizindua shina la Ngarasero
Post a Comment